SAMBUSA ZA NYAMA
Sambusa za nyama hupikwa kwa kutumia zana mbali mbali na tena hukaa siku mbili bila kuharibika kwani kikawaida watu hupika na bila kuharibu ladha ya chakula chenyewe .kiujumla upishi huu unapendwa sana na watu wa Tanzania bara na Zanzibar kwaujumla.kwa wale ambao hawajui kupika sambusa zanyama wawe makini kuiangalia video hii ili wapate kujua kupika sambuza za nyama tena ni tamu sana
Maoni
Chapisha Maoni